Loading...

Hadithi Hamsini na Mbili Kuu Katika Biblia - Lesson 3

Mwanguko

Mwanzo sura ya 3 inaelezea jinsi Adamu na Hawa walitenda dhambi, matokeo ambayo yalipatikana na pia ahadi ya mkombozi.

Bill Mounce
Hadithi Hamsini na Mbili Kuu Katika Biblia
Lesson 3
Watching Now
Mwanguko

Lessons
About

English |Hindi | Swahili

Biblia ni hadithi moja inayoendelea, kutoka hadithi ya uumbanji hadi hadithi kuhusu kurundi kwa Yesu kunaotarajiwa katika mwisho wa nyakati. Na pia kuna hadithi ndogo- ndogo ambazo zinaunganishwa kufanya hadithi moja kuu.

Darasa hili ni kuhuhusu hadithi 52 zitakazokusaidia katika safari yako utakapotembea kupitia hadithi kuu za Biblia, 26 zimo katika Agano la Kale (nyakati zinazotazamia kuhusu Yesu) na 26 katika Agano Jipya (nyakati za Yesu na baadaye). Zimepangwa na kutayarishwa hasa kwa sababu ya watu wanaoweza kufahamu vema kupitia hadithi badala ya mafundisho.