Loading...

Hadithi Hamsini na Mbili Kuu Katika Biblia - Lesson 8

Amri Kumi

Amri Kumi sio sheria ya kufuata lakini hutoa mwelekeo na muundo wa jinsi upendo wetu kwa Mungu (Shema) inavyohithilika yenyewe kwa Mungu na watu wengine.

Bill Mounce
Hadithi Hamsini na Mbili Kuu Katika Biblia
Lesson 8
Watching Now
Amri Kumi

Lessons
About

English |Hindi | Swahili

Biblia ni hadithi moja inayoendelea, kutoka hadithi ya uumbanji hadi hadithi kuhusu kurundi kwa Yesu kunaotarajiwa katika mwisho wa nyakati. Na pia kuna hadithi ndogo- ndogo ambazo zinaunganishwa kufanya hadithi moja kuu.

Darasa hili ni kuhuhusu hadithi 52 zitakazokusaidia katika safari yako utakapotembea kupitia hadithi kuu za Biblia, 26 zimo katika Agano la Kale (nyakati zinazotazamia kuhusu Yesu) na 26 katika Agano Jipya (nyakati za Yesu na baadaye). Zimepangwa na kutayarishwa hasa kwa sababu ya watu wanaoweza kufahamu vema kupitia hadithi badala ya mafundisho.