Hadithi Hamsini na Mbili Kuu Katika Biblia | Free Online Bible Classes

Hadithi Hamsini na Mbili Kuu Katika Biblia

52 major stories of the Bible in Swahili.

Biblia ni hadithi moja inayoendelea, kutoka hadithi ya uumbanji hadi hadithi kuhusu kurundi kwa Yesu kunaotarajiwa katika mwisho wa nyakati. Na pia kuna hadithi ndogo- ndogo ambazo zinaunganishwa kufanya hadithi moja kuu.

Darasa hili ni kuhuhusu hadithi 52 zitakazokusaidia katika safari yako utakapotembea kupitia hadithi kuu za Biblia, 26 zimo katika Agano la Kale (nyakati zinazotazamia kuhusu Yesu) na 26 katika Agano Jipya (nyakati za Yesu na baadaye). Zimepangwa na kutayarishwa hasa kwa sababu ya watu wanaoweza kufahamu vema kupitia hadithi badala ya mafundisho.

English |Hindi | Swahili

 • Program:
 • Length:
  24 hours
 • Skill:
  Basic
 • Price:
  Free
 • Institution:
  BiblicalTraining
 • Subject:
  Biblical Studies
 • Language:
  Swahili

Lectures

1

Mwanzo 1 ni moja ya sura ya msingi katika Biblia nzima. Haituelezi tu jinsi kila kitu kilianzia, lakini inatuanzishia mafundisho ya msingi juu ya Mungu ni nani na sisi ni nani katika uhusiano wetu naye. Badala ya kubishana kuhusu masuala ya sekondari kama historia na sayansi, Mwanzo 1 inafaa kuyageuza macho yetu juu kuelekea mbinguni, tukishangaa juu ya mkuu ya Mungu.

2

Katika siku ya sita ya uumbaji tunajifunza kwamba watu ndio kilele cha viumbe, mfano na sura ya Mungu. Hii ni chanzo cha heshima ya binadamu, na hii ndiyo sababu tunajiingiza katika ukuaji wa kiroho, ili tuweze kufa.

3

Mwanzo sura ya 3 inaelezea jinsi Adamu na Hawa walitenda dhambi, matokeo ambayo yalipatikana na pia ahadi ya mkombozi.

4

Mwanzo sura ya 6-9

5

Mwanzo sura ya 12:1-15:6

6

Mwanzo sura ya 37-50

7

Kutoka 7:14 - Kutoka 10

8

Amri Kumi sio sheria ya kufuata lakini hutoa mwelekeo na muundo wa jinsi upendo wetu kwa Mungu (Shema) inavyohithilika yenyewe kwa Mungu na watu wengine.

9

Kutoka 33

10

Mambo ya Walawi 18: 2-19: 18

11

Kumbukumbu la Torati

12

Waamuzi inaonyesha umuhimu wa kufanywa upya ahadi, jinsi kila kizazi kilifaa kujiamulia wenyewe kama wangemfuata Mungu. Mara baada ya Israeli walipewa nchi ya ahadi, kwa sehemu kubwa walishindwa katika upya wa ahadi na kushindwa kupokea baraka kutoka kwa Mungu.

13

1 Samueli

14

Hii sio hadithi hasa kuhusu kijana aliemshida shujaa mkubwa (I Samweli 16-17). Ni akaunti ya jinsi imani inamsukuma mtu kumwamini Mungu, licha ya jambo lolotelinaloonekana.

15

Zaburi 23 ni kilio cha Daudi na imani kwamba Mchungaji wake atamlisha na kumlinda katika hali zote, na kwamba Mungu ni mwenye upendo kwa ajili ya kondoo wake.

16

Zaburi 51 inatoa mfano kwa kweli wa kukiri katika Biblia, ambapo tunakubali hatia zetu wenyewe na haki ya Mungu, hufanya udhuru, na rufaa si kwa matendo yetu mema bali kwa huruma ya Mungu.

17

Sulemani alikuwa muadilifu kuliko watu wote, na bado alikufa mjinga kwa sababu yeye alipuuza ushauri wake mwenyewe. Haitoshi kujua ukweli; unafaa kufanya hivyo.

18

Ayubu 1: 1-42: 3

19

Wafalme 14-18

20

Isaya 6: 1-8

Pages

Sharing Links