Maisha Ni Safari - Lesson 12
Kuwaalika Wengine Kujiunga
Wanafunzi wanafaa kufanya wanafunzi zaidi. Hii ni moja ya uzoefu wenye furaha zaidi katika maisha yako unaposhiliki jinsi Mungu amekupa uzima, na atawafanyia hivyo rafiki zako, majirani, na wengine. Huu sio mchakato wa kutisha; ni asili kwa watu ambao wamebadilishwa na wanaishi maisha mapya. Je; watu watakujibu namna gani? Je "ushuhuda binafsi" ni nini? Je, jinsi gani naweza kuwaambia watu kwamba wao pia wanaweza kuwa manafunzi wa Yesu? Nini kama wao si kama mimi?
Kuwaalika Wengine Kujiunga
- 0% Complete
Kuangalia nyuma kuhusu uzoefu wako wa wongofu. Mara nyingi ni wazo nzuri ya kuangalia nyuma kuhusu uzoefu wako wa wongofu. Je, ni nini kilichotokea wakati ulifanyika mfuasi wa Yesu Kristo? Je, wewe ulifahamu jambo lolote? Je, kuna uwezekano wa kuwa haukuelewa chochote? Je, kuna kitu chochote kulichotokea ambacho unaweza kuwa ulikifahamu?
0% Complete - 0% Complete
Mabadiliko yale yanayotokea katika maisha yako. "Wongofu" ni kumaanisha kuwa kwa jambo moja hadi jingine. Katika hali yako, wewe ulibandilika kutoka kutokuwa mwanafunzi wa Yesu hadi kuwa mmoja. Pia ina maanisha kwamba Mungu anafanya kazi sasa katika maisha yako, kwa kuanzia na kukufanya wewe uwe kama Yesu. Je, unastaajabu kuhusu jambo hili? Ni nini hasa kilichotokea wakati ulifanyika Mkristo? Je haya maisha mapya kama mfuasi wa Yesu yako vipi? Je, maisha yangu yalibadilika moja kwa moja?
0% Complete - 0% Complete
Wakati unapojikwa katika matebezi yako mapya na Mungu. Hata kama nguvu za Mungu zinafanya kazi ndani yako, kukusaidia kuwa zaidi kama Yesu, unaweza kujikwa. Hii haifai kuondoa furaha ya imani yako mpya; ni ya kukuandaa kwa ajili ya furaha ya ukuaji wa kiroho ilio mbele. Mungu anaifahamu na siyo ya kushangaza, na haiathiri ahadi yake kwetu. "Dhambi" ni nini? Je; majaribu ya dhambi? Wawezaje kumwambia Mungu kwamba ulitenda dhabi na unaomba msamaha? Je, yeye husamehe? Je, unaweza kusafishwa?
0% Complete - 0% Complete
Kipengele muhimu ya uhusiano wowote ni mawasiliano, wote kusikiliza na kuzungumza. Mungu alisema na sisi njia mbili za msingi, kwa kuunda na kupitia Neno lake, Biblia. Je, maneno "msukumo," "mamlaka," na "mpangilio" yanamaanisha nini? Je, tunaweza kuamini Biblia? Je, naweza kumsikiliza Mungu wakati ninasoma maneno yake? Mimi ninatakiwa kufanya kitu chochote zaidi ya kuisoma?
0% Complete - 0% Complete
Mawasiliano bora inahitaji siyo tu kusikiliza lakini pia kuzungumza. Maombi ni kuzungumza na Mungu, kuhusu chochote na kila kitu. Yeye ni Baba yetu mpya, na anataka kusikia kutoka kwetu. Jinsi gani unaweza kuomba? Je, kuomba juu ya nini? Na kama mimi nina shida kumsikiliza akiongea?
0% Complete - 0% Complete
Wakati ulifanyika Mkristo, ulielewa mambo fulani kuhusu Mungu. Lakini unajua kwamba anajua kila kitu? Kuwa yeye yuko kila mahali? Kuwa yeye ni mwenye nguvu zote? Ni jinsi gani basi tunapaswa kukabiliana na maarifa kamili ya Mungu? Ibada ni nini? Je, tunapaswa kujibu vipi kwa yale tunajua kuhusu Mungu?
0% Complete - 0% Complete
Yesu ni mtu anayejulikana katika historia. Yeye ameathiri historia ya dunia kuliko kiongozi yeyote mwingine au filosofia au harakati za kisiasa. Watu wengi hujua jina, lakini yeye ni nani? Alisema nini kuhusu yeye mwenyewe? Je, wafuasi wake walisema nini juu yake? Je; umuhimu na sababu kuhusu maswali haya na majibu yetu ni nini?
0% Complete - 0% Complete
Yesu alifanya mambo mengi alipokuwa duniani, lakini muhimu zaidi ya yote alikuwa afe msalabani. Lakini nini hasa kilichotokea? Ni nini iliokamilika? Biblia inamaanisha nini wakati inazungumza juu ya Yesu kuwa "Mwana kondoo wa Mungu"? Je, kuna kitu chochote ambacho kinaweza kunisaidia kuelewa umuhimu wa kifo chake. Je, kuna haja kukumbushwa kuhusu suala hilo mara kwa mara?
0% Complete - 0% Complete
Wakristo wanaamini Mungu Mmoja; tunaamini katika Mungu mmoja. Lakini pia ni Utatu; tunaamini katika "utu" ya Utatu - Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu. Ni nani huyu ambaye ni mwanachama wa utu wa Utatu? Ni nini hasa kazi yake? Jukumu lake inayoendelea katika maisha yangu ni nini? Ina maana gani kuongozwa na kuwezeshwa na Roho Mtakatifu? Je ninahitaji kufanya kitu chochote, au yeye hufanya kazi yote? Tungekuwa wapi kama si kwa kazi ya Roho Mtakatifu?
0% Complete - 0% Complete
Wakati ulipofanyika Mkristo, wewe ulianza kutembea na Mungu. Ni mchakato wa siku-kwa-siku ambao dhambi haina mamlaka juu ya maisha yako na unabadilika kuwa kama Yesu. Lakini baadhi ya siku ni ngumu kuliko zingine, hasa wakati mambo magumu yanapotokea. Kwa nini haya "mambo mabaya" hutokea? Naweza kujiwekea sehemu yangu mwenyewe kutoka kwa Mungu ikiwa kufanya hivyo kutanisaidia kuepuka maumivu? Je, kuna madhara yoyote kwa kuruhusu dhambi katika baadhi ya maeneo ya maisha yangu? Ina maana gani kwamba Yesu ni "Mwokozi" na "Bwana"?
0% Complete - 0% Complete
Wakati tumekuwa watoto wa Mungu mwanafunzi mmoja kwa wakati, kama watoto sisi ni watu wa familia mpya na baba mpya, ndugu wapya na dada, na nyumba mpya. Je, mimi kuhusiana na watu hawa? Je, mimi ninahaja ya kutumia muda pamoja nao? Je, hii ni kazi rahisi au gumu? Ni kwa jinsi gani kanisa la kwanza kutusaidia kuelewa masuala haya? Ni kwa jinsi gani upendo wangu kwa Mungu huonyesha yenyewe kwa wengine?
0% Complete - 0% Complete
Wanafunzi wanafaa kufanya wanafunzi zaidi. Hii ni moja ya uzoefu wenye furaha zaidi katika maisha yako unaposhiliki jinsi Mungu amekupa uzima, na atawafanyia hivyo rafiki zako, majirani, na wengine. Huu sio mchakato wa kutisha; ni asili kwa watu ambao wamebadilishwa na wanaishi maisha mapya. Je; watu watakujibu namna gani? Je "ushuhuda binafsi" ni nini? Je, jinsi gani naweza kuwaambia watu kwamba wao pia wanaweza kuwa manafunzi wa Yesu? Nini kama wao si kama mimi?
0% Complete
About BiblicalTraining.org
BiblicalTraining.org wants every Christian to experience a deep and loving relationship with Jesus by understanding the life-changing truths of Scripture. To that end, we provide a high-quality Bible education at three academic levels taught by a wide range of distinguished professors, pastors, authors, and ministry leaders that moves from content to spiritual growth, all at no charge. We are a 501(c)(3) non-profit funded by gifts from our users. We currently have over 180 classes and seminars, 2,300 hours of instruction, registered users from every country in the world, and in the last two years 1.4 million people watched 257 terabytes of videos (11 million lectures).
Our goal is to provide a comprehensive biblical education governed by our Statement of Faith that leads people toward spiritual growth.