Lecture 1: Wongofu
Please Log in to Attend this Lecture
Please log into your free account so you can attend this lecture.
Lesson
Kuangalia nyuma kuhusu uzoefu wako wa wongofu. Mara nyingi ni wazo nzuri ya kuangalia nyuma kuhusu uzoefu wako wa wongofu. Je, ni nini kilichotokea wakati ulifanyika mfuasi wa Yesu Kristo? Je, wewe ulifahamu jambo lolote? Je, kuna uwezekano wa kuwa haukuelewa chochote? Je, kuna kitu chochote kulichotokea ambacho unaweza kuwa ulikifahamu?