Swahili

FAQs

Yes. As finances allow, we will be translating all of our Foundation classes into Swahili.

Courses

COURSE 1
Dr. Bill Mounce | 7 Hours

Mtaala wetu wa wiki 12 unaongoza wanafunzi katika mwelekeo sahihi na kuhamasisha waumini waliokomaa kuwashauri. Katika wiki ya kawaida, mwanafunzi anahusika na maandiko ya Biblia na kupata moyo wa kuanza safari, kuomba na kukariri mistari ya kibiblia. Kisha mwanafunzi na mshauri wanasikiliza dakika thelathini za majadiliano ya maelezo kuhusu utafiti iliotolewa, kasha wafanye kazi kupitia maswali ya kutafakari kwa pamoja na kisha wawe na siku mbili zaidi kuonyesha kile walichojifunza.

COURSE 2
Dr. Bill Mounce | 28 Hours

Biblia ni hadithi moja inayoendelea, kutoka hadithi ya uumbanji hadi hadithi kuhusu kurundi kwa Yesu kunaotarajiwa katika mwisho wa nyakati. Na pia kuna hadithi ndogo- ndogo ambazo zinaunganishwa kufanya hadithi moja kuu. Darasa hili ni kuhuhusu hadithi 52 zitakazokusaidia katika safari yako utakapotembea kupitia hadithi kuu za Biblia, 26 zimo katika Agano la Kale (nyakati zinazotazamia kuhusu Yesu) na 26 katika Agano Jipya (nyakati za Yesu na baadaye). Zimepangwa na kutayarishwa hasa kwa sababu ya watu wanaoweza kufahamu vema kupitia hadithi badala ya mafundisho.