Kutembea na Mungu
Please Log in to Attend this Lecture
Please log into your free account so you can attend this lecture.
Lesson
Wakati ulipofanyika Mkristo, wewe ulianza kutembea na Mungu. Ni mchakato wa siku-kwa-siku ambao dhambi haina mamlaka juu ya maisha yako na unabadilika kuwa kama Yesu. Lakini baadhi ya siku ni ngumu kuliko zingine, hasa wakati mambo magumu yanapotokea. Kwa nini haya "mambo mabaya" hutokea? Naweza kujiwekea sehemu yangu mwenyewe kutoka kwa Mungu ikiwa kufanya hivyo kutanisaidia kuepuka maumivu? Je, kuna madhara yoyote kwa kuruhusu dhambi katika baadhi ya maeneo ya maisha yangu? Ina maana gani kwamba Yesu ni "Mwokozi" na "Bwana"?