Unapojikwa
Please Log in to Attend this Lecture
Please log into your free account so you can attend this lecture.
Lesson
Wakati unapojikwa katika matebezi yako mapya na Mungu. Hata kama nguvu za Mungu zinafanya kazi ndani yako, kukusaidia kuwa zaidi kama Yesu, unaweza kujikwa. Hii haifai kuondoa furaha ya imani yako mpya; ni ya kukuandaa kwa ajili ya furaha ya ukuaji wa kiroho ilio mbele. Mungu anaifahamu na siyo ya kushangaza, na haiathiri ahadi yake kwetu. "Dhambi" ni nini? Je; majaribu ya dhambi? Wawezaje kumwambia Mungu kwamba ulitenda dhabi na unaomba msamaha? Je, yeye husamehe? Je, unaweza kusafishwa?