Free Online Bible Classes | Mabadiliko

Mabadiliko

Log in to Attend this Lecture

Please log into your free account and enroll in this class for free so you can attend the class and see your progress.

Create account    Login

Lesson

Mabadiliko yale yanayotokea katika maisha yako. "Wongofu" ni kumaanisha kuwa kwa jambo moja hadi jingine. Katika hali yako, wewe ulibandilika kutoka  kutokuwa mwanafunzi wa Yesu hadi kuwa mmoja. Pia ina maanisha kwamba Mungu anafanya kazi sasa katika maisha yako, kwa kuanzia na kukufanya wewe uwe kama Yesu. Je, unastaajabu kuhusu jambo hili? Ni nini hasa kilichotokea wakati ulifanyika Mkristo? Je haya maisha mapya kama mfuasi wa Yesu yako vipi? Je, maisha yangu yalibadilika moja kwa moja?

Download the lecture

You can download this lecture with our app and listen to it offline (more information).