Loading...

Hadithi Hamsini na Mbili Kuu Katika Biblia - Lesson 14

Daudi na Goriatho

Hii sio hadithi hasa kuhusu kijana aliemshida shujaa mkubwa (I Samweli 16-17). Ni akaunti ya jinsi imani inamsukuma mtu kumwamini Mungu, licha ya jambo lolotelinaloonekana.

Bill Mounce
Hadithi Hamsini na Mbili Kuu Katika Biblia
Lesson 14
Watching Now
Daudi na Goriatho

Lessons
About

English |Hindi | Swahili

Biblia ni hadithi moja inayoendelea, kutoka hadithi ya uumbanji hadi hadithi kuhusu kurundi kwa Yesu kunaotarajiwa katika mwisho wa nyakati. Na pia kuna hadithi ndogo- ndogo ambazo zinaunganishwa kufanya hadithi moja kuu.

Darasa hili ni kuhuhusu hadithi 52 zitakazokusaidia katika safari yako utakapotembea kupitia hadithi kuu za Biblia, 26 zimo katika Agano la Kale (nyakati zinazotazamia kuhusu Yesu) na 26 katika Agano Jipya (nyakati za Yesu na baadaye). Zimepangwa na kutayarishwa hasa kwa sababu ya watu wanaoweza kufahamu vema kupitia hadithi badala ya mafundisho.